AfyaMtandao | Msaada | Wasiliana nasi | Maoni | English Version
Tafuta :    
 Mwanzo  | Kuhusu AfyaMtandao  | Habari  | Matukio  | Huduma za Afya  | Maswali Mrudio(FAQ)  | Afya Akaunti  | Links   9th September 2010
                                 
    Magonjwa, jinsi ya kuzuia na kujikinga   Makala za Afya kutoka kwa wataalamu wa afya   Maswali na majibu kuhusu masuala ya afya   Afya Yako na jinsi ya kuiboresha   Afya Katika Picha na maelezo  
                                 
 
 Habari
 Habari za Kale

 

 
      
Mahali Ulipo:  » Mwanzo » Habari

Habari


Print page  
Tume ya Kikristo (CSSC)

Tume ya kikristo yadhamiria kueneza huduma za jamii

TUME ya Kikristo ya huduma za jamii (CSSC), imejipanga kuhakikisha inafikisha mradi wake wa AfyaMtandao nchi nzima ili kuzipa uwezo hospitali za makanisa na zisizo za makanisa kubadilishana ujuzi.

Mbali na kuanza Januari mwaka jana ikiwa imejikita mikoa ya kanda ya ziwa,mradi huo kwa mwaka huu utapanuka na kufika katika mikoa ya kanda ya kaskazini lakini ukiwa na lengo la kuenea maeneo mengine nchini kurahisisha huduma za utunzaji na upatikanaji wa taarifa za afya.

Hiyo ni pamoja na kuziunganisha hospitali za kanda hizo na miradi midogo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEKNOHAMA) inayofadhiliwa na Shirika la Mawasiliano na Maendeleo la Uholanzi (IICD).
 

Afisa Habari wa AfyaMtandao,Renatus Sona amesema baadhi ya hospitali tayari zimejiunga na kuwa wanachama wa AfyaMtandao,amezitaji hospitali hizo kuwa ni Sumve,Bunda,Sengerema,Burongwa,Kolandoto,Kagondo,Rubya na Zahanati ya Ukombozi.

 

Imewekwa: 24th Feb 09 na Renatus J Sona

 

 

   
 
Haki zote zimehifadhiwa ©2007-2010 AfyaMtandao.