AfyaMtandao | Msaada | Wasiliana nasi | Maoni | English Version
Tafuta :    
 Mwanzo  | Kuhusu AfyaMtandao  | Habari  | Matukio  | Huduma za Afya  | Maswali Mrudio(FAQ)  | Afya Akaunti  | Links   9th September 2010
                                 
    Magonjwa, jinsi ya kuzuia na kujikinga   Makala za Afya kutoka kwa wataalamu wa afya   Maswali na majibu kuhusu masuala ya afya   Afya Yako na jinsi ya kuiboresha   Afya Katika Picha na maelezo  
                                 
 

 

 
      
Mahali Ulipo:  » Mwanzo » Miradi ya Afya

Miradi ya Afya

Maelezo zaidi
Malezo ya Mradi

P3-30.310: HIV/AIDS Uelimishaji na ubadilishaji tabia za Vijana

VVU/UKIMWI (HIV/AIDS) ni janga la kimataifa. Vijana wengi hasa wa vijijini bado hawana uelewa wa kutosha kuhusu janga hili. CSSC ambacho ni chombo cha  makanisa  yenye waumini ambao ni sehemu kubwa ya jamii bado haina  taarifa na mikakati inayokubalika kwa wadau wake ya kukabiliana na janga hili Teknohama(ICT) ni njia mojawapo  ya kuwezesha uandaaji na usambazaji wa taarifa kuhusu namna ya kupambana na ukimwi. Katika mradi huu, vikundi vya wanafunzi vikisaidiwa na wataalamu vinaandaa mikakati ya kuelimishana  kwa vijana wa rika mbalimbali pamoja na wazazi wao na waumini wengine kwa jumla. Vielelezo na maigizo ni moja ya njia zinazotumika kutoa elimu hii

Historia ya mradi Hali halisi ilivyo hivi sasa
Maandalizi ya mradi yamekamilika lakini mradi ukasimamishwa kwa sababu mmiliki  alikuwa  hajaandaa maudhui timilifu. Maudhui  yaliyoandaliwa yalikuwa hayana ugomvi na maadili ya kanisa lakini yalikuwa yameegemea zaidi upande wa Kanisa Katoliki peke yake na hivyo kutokidhi matakwa ya madhehebu mengine.
Mradi mwingine ulianzishwa na  wanafunzi wa TANEDU kuhusu  mapambano dhidi ya Ukimwi eneo la Masaini. Maudhui ya mradi huu yanaweza kutumiwa na CSSC.Maandalizi karibú yanakamilika.
Goal Kuwapa vijana elimu na maarifa ya kupambana na janga la ukimwi
Objectives Kuwezesha jamii kujikinga na janga la ukimwi
Target Mradi huu ulilenga vijana
Mategemeo Vijana wakielimika na kuzingatia njia za kujikinga na janga la ukimwi jamii itakuwa salama
Mafaniko Kutokana na kusimama kwa mradi bado mafanikio hayajapatikana
Mfadhili IICD ya Uholanzi
Barua pepe n/a
Mradi Unaanza 0000-00-00
Mradi Unaisha 0000-00-00
Anwani ya Jumla TANEDU
Simu ya Mezani n/a
Hali ya Mradi Preparation
Anwani binafsi n/a
Anwani ya shirika TANEDU
Mratibu n/a
Gharama n/a
Nyaraka : Chukua waraka


« 

 

 

   
 
Haki zote zimehifadhiwa ©2007-2010 AfyaMtandao.