AfyaMtandao | Msaada | Wasiliana nasi | Maoni | English Version
Tafuta :    
 Mwanzo  | Kuhusu AfyaMtandao  | Habari  | Matukio  | Huduma za Afya  | Maswali Mrudio(FAQ)  | Afya Akaunti  | Links   9th September 2010
                                 
    Magonjwa, jinsi ya kuzuia na kujikinga   Makala za Afya kutoka kwa wataalamu wa afya   Maswali na majibu kuhusu masuala ya afya   Afya Yako na jinsi ya kuiboresha   Afya Katika Picha na maelezo  
                                 
 

 

 
      
Mahali Ulipo:  » Mwanzo » Miradi ya Afya

Miradi ya Afya

Maelezo zaidi
Malezo ya Mradi PROGRAMME 4: MAFUNZO ENDELEVU YA KITAALUMA KAZINI
CONTINUING PROFESSIONAL DEVELOPMENT(CPD)
Historia ya mradi
Hali halisi ilivyo sasa
Utekelezaji wa mradi alianza Septemba 2006
Goal Lengo la mradi huu ni kuhamasisha  wataalamu kujisomea na kujiendeleza kitaaluma katika sehemu zao za kazi. Kwa kupitia warsha na mafunzo kazini itaweezekana kujenga uwezo wa  watendaji na viongozi kujiendeleza. Mipango midogo mitano ya kuendeleza azma hii itaanzishwa na maudhui ya mafunzo kuandaliwa katika taasisi mbalimbali. Sera zitawekwa na taratibu za kutunuku vyeti zitawekwa Walengwa wa mradi huu ni Taasisi za Mafunzo za Kanda.
Objectives Kuhakikisha kuwa wataalamu wanapata fursa ya kujiendeleza kitaaluma wakati wote wawapo kazini
Target Taasisi Kiongozi
Mradi unatekelezwa sanjari na mradi wa InWent(GTZ) katika sekta ya Afya Utasimamiwa na kamati itakayoongozwa na COSTECH
Mategemeo Kuwa na kada ya wataalamu wanaojiendeleza wakati wote wawapo kazini
Mafaniko Kuinua kiwango cha utendaji kazi na utoaji huduma
Mfadhili IICd na GTZ(InWent)
Barua pepe muchs.ac.tz
Mradi Unaanza 0000-00-00
Mradi Unaisha 0000-00-00
Anwani ya Jumla MUCHS
Simu ya Mezani 0755 294913
Hali ya Mradi Progessing
Anwani binafsi Prof.G Msamanga na Denis Mazali
Anwani ya shirika MUCHS
Mratibu Prof. G. Msamanga na Dennis Mazali
Gharama n/a
Nyaraka : Chukua waraka


« 

 

 

   
 
Haki zote zimehifadhiwa ©2007-2010 AfyaMtandao.