P6-30.316:MKAKATI WA TEKNOHAMA KWA WANACHAMA WA CSSC
Historia ya mradi
Muhtasari CSSC inatoa asilimia 40 ya huuduma za afya hapa nchini. Ipo haja ya kuwa na mkakati wa pamoja wa kupenyeza Teknohama katika makanisa na taasisi zilizoko chini ya CSSC. Mkakati huo utaandaliwa kwa mbinu shirikishi kuanzia ngazi za chini kwenda ngazi za juu. Na kujumuisha sekta zote
Goal
Kuwezesha wanachama wa CSSC kuendesha shughuli zao kisasa
Objectives
Kuboresha utoaji wa huduma kwa kutumia tekinolojia ya habari na mawasiliano
Target
Wanachama wote wa CSSC
Mategemeo
Kutoa huduma bora kwa kutumia tekinolojia za kisasa