Muhtasari Kinondoni ilikuwa ya mwanzo kuanzisha MTUHA katika ngazi ya Manisipaa Mradi huu unalenga kuimarisha zaidi mipango ya afya na matumizi ya Teknohama(ICT) katika taasisi za afya
Historia ya mradi
Hali halisi ilivyo sasa Sehemu ya kwnza imeanza kufanya kazi na upanuzi wa mradi unafikiriwa na fedha zinatafutwa.
Goal
Kuwafungua macho wadau wengine na watumishi wa serikali kuhusu MTUHA
Utekelezaji wa MTUHA katika ngazi ya wilaya
Objectives
Utekelezaji wa MTUHA katika ngazi ya wilaya Mafunzo kwa watumiaji wa MTUHA
Target
Wamiliki wa Mradi: Timu ya Uendeshaji Huduma za Afya katika Manispaa ya Kinondoni
Mategemeo
Kuongeza ufanisi katika utendaji kazi na utoaji huduma