AfyaMtandao | Msaada | Wasiliana nasi | Maoni | English Version
Tafuta :    
 Mwanzo  | Kuhusu AfyaMtandao  | Habari  | Matukio  | Huduma za Afya  | Maswali Mrudio(FAQ)  | Afya Akaunti  | Links   9th September 2010
                                 
    Magonjwa, jinsi ya kuzuia na kujikinga   Makala za Afya kutoka kwa wataalamu wa afya   Maswali na majibu kuhusu masuala ya afya   Afya Yako na jinsi ya kuiboresha   Afya Katika Picha na maelezo  
                                 
 

 

 
      
Mahali Ulipo:  » Mwanzo » Taarifa na Majarida

Taarifa na Majarida

Majarida

 

AfyaMtandao newsletter toleo no 04,limesheheni habari kemkem ambazo ni; Mafunzo ya Kompyuta kwa watumishi wa afya, Hospitali ya Sumve yafanyiwa tathimini ya TEKNOHAMA,Mkutano wa tathimini ya mradi wa TibaMtandao, Ushawishi na utetezi katika sekta ya Afya, Uundwaji wa mpango mkakati wa TEKNOHAMA katika sekta ya afya, CSSC na Mkataba wa huduma ya afya (Service Agreement) na Matukio mbalimbali katika picha. Ili kuweza kupata nakala halisi "fungua nyaraka"


    Imewekwa: 21st Aug 09

 

Toleo hili lina habari kemkem kama vile;Hospitali ya Butimba na matumizi ya kompyuta,KCMC yatoa mawe kwa darubini,Uboreshaji wa TEKNOHAMA katika kanda za CSSC,Wanachama wa AfyaMtandao,Watoa huduma za afya majumbani na washauri nasaha wapewa mafunzo,Tibamatandao kwa maendeleo ya taifa,Zahanati ya Nassa yaboresha huduma na TCMA yahudumia afya kwa asilimia 40.


    Imewekwa: 23rd Jun 09

 

Toleo no 03 la AfyaMtandao online newsletter, miongoni mwa habari ambazo utazipata ni; CSSC yazindua filamu za makala ya afya,kubadilishana maarifa miongoni mwa wataalamu wa afya, kujenga jukwaa la kushirikishana uzoefu na hospitali zingine, wizara ya afya yatembelea mradi wa DHMIS, warsha za AfyaMtandao zaonyesha mafanikio, elearning kwa maendeleo ya sekta ya afya, hospitali ya sengerema na njia ya kangaroo. ili uweze kusona fungua "attachment"


    Imewekwa: 23rd Jun 09

Katika toleo hili la Afyamtandao kuna habari nyingi za kujifunza hivyo pata nakala yako kwa kuponyeza sehemu ya "Nyaraka"


    Imewekwa: 23rd Jun 09

« 

 

 

   
 
Haki zote zimehifadhiwa ©2007-2010 AfyaMtandao.